Sijutii lyrics by Ruby
[Verse 1]
Tabu sio kupata penzi
Tabu kupata bora mpenzi
Mwenye kujua matunzo
Tabu sio kupata penzi
Tabu kupata bora mpenzi
Mwenye kujua matunzo
Mwenzenu nyuma nilidanganyika kwa kijana
Akanijaza kwa sana
Si ndo nikaona hili ndo bwana
Nilizama pasipozamika
Ona nikadidimizika
Ila sikujali, nilijipa moyo nikimuomba
Mungu
Mbele ya safari nilijipa moyo ntampata
mzuri tu
Mwenzenu nyuma…
Oh mwenzenu nyuma…
Wacha niseme maana yamenifika shingoni
Nakosa unene amani sina moyoni
[Chorus]
Sijutii kukufahamu nimejifunza mengi eh
Wacha niseme maana yamenifika shingoni
Nakosa unene amani sina moyoni
Sijutii kukufahamu nimejifunza mengi eh
Nimejifunza mengi eh
[Verse 2]
Mto wenye mamba wengi
Ni huo huo wenye samaki wengi
Inabidi niingie nivue eh
Mwenzenu nyuma nilidanganyika na kina
Nikajazwa sana si ndo nikaona nimepata
Nilizama pasipozamika, ona nikadidimizika
Ila sikujali nilijipa moyo nikimuomba
Mungu
Mbele ya safari nilijipa moyo nitampata
mzuri tu
Nilichimba kisima, kata ikanidumbukiza
mwenyewe
Nilichimba kina, mwisho nikadumbukiaga
mwenyewe
[Chorus]
Sijutii kukufahamu nimejifunza mengi eh
Wacha niseme maana yamenifika shingoni
Nakosa unene amani sina moyoni
Sijutii kukufahamu nimejifunza mengi eh
[Outro]
Sijutii kukufahamu (moyoni)
Sijutii kukufahamu
Wacha niseme maana yamenifika shingoni
Nakosa unene amani sina moyoni
Sijutii…
No comments:
Post a Comment