Akothee- yuko moyoni lyrics
simzuki kwa pesa wala nguo,sijasoma
kidato wala chuo
Tena nina madeni mpuguo lakini kadata na
mimi
mimi katasaye funguo ,anazama nami bila
kituo
Na rangi yangu ya kijaluo ndio inamkata
ulimi
usitoe jonzi langu ona sasa nimetulia
Nampa moyo wanguu ,kanipa wake namtunzia
{hanipigi roho anipa kubwa kubwa sidogo
Nikimpa kidogo,tamu mpaka anakuna kisogo}
X2
Chorus
{la laaaah ananichanganya changanya yuko
moyoni
ba baaaah aniweza sana mpaka wengine
sioni X2
le leeeeh yuko moyoni mmmh mpaka wengine sioni x2
yuko moyoni ata wengine sioni x2}
verse 2
yeye aliponipalia mapenzi nilijuta,
nikajifanya ngamia siwezi kuanguka
sikuacha kulia moyo ukinisuta,
nimezunguka Dunia leo nimemkuta
(mi na yeye ye yeyeee, ye na mimi
mimiiii)X2
eeeh wenye uchungu uu mwende mataniti si
msitupange
maana chungu kimepata mpini wacheni akitwange.X2
CHORUS
{My sweety potato eeh oohhh, my tomato
Jossy eeh ohh
you're the papa of my pikiny oooh
for the love you go de give me oh}x2
ah ha ha ha basi uza simu ununue voucher
kwa story za umbea joh.
he he he , hi hi hi
Akothee black beauty
ngoja kwanza
endless, flawless,ebonileess
ha ha ha aaaaaiiiih
No comments:
Post a Comment