Monday, 6 February 2017

Kitabu Lyrics Rawbeena

Kitabu lyrics - Rawbeena

Kitabu cha love my babe boy, ulichonipa
imenifanya nikupende sana aahh
na baada ya kukisoma, nimejifunza
bora nitulie nawe daima aaah
oh baby my baby my sweety
i love you so i need you more
ahsante eh Mola kunipa shababi ooh
Alhamdulilai

ninapo kisoma nafurahi
kisoma nafurahi
ninapokisoma nafurahi
silali bila soma kitabu
ninapokisoma nafurahi
kisoma nafurahi
ninapokisoma nafurahi
itapita ata soma kurasa mimi
my baby oh wacha nikisome
my baby oh wacha nikisome
oh my baby oh
wacha nikisome kitabu changu
cha nipa oh my baby oh
wacha nikisome
oh my baby oh wacha nikisome
oh my baby oh wacha nikisome
kitabu changu chanipa raha

achia mbali kurasa nilizosoma kwako mpenzi
mpenzi bora nataka nikisome nikifunge nikifungue
kitabu cha mapenzi

{wanimaliza kitabu x2
chako cha nimaliza
kimenitoa fahamu sijiwezi} x2
oh my baby oh wacha nikisome
oh my baby oh wacha nikisome
oh my baby oh wacha nikisome
kitabu changu chanipa raha
oh kitabu, changu kitabu
changu kitabu iye iye iye iye
changu kitabu olololol
changu kitabu olololol
changu kitabu iyeiyeiey

No comments:

Post a Comment