Saturday, 4 February 2017

Alikiba Lupela lyrics

Song: Lupela
Artist: Alikiba
Director:
Pokea zangu salamu
Wangu mimi
Mwambie ameshakuwa nahitaji kukua
Kwanza uwe na mume, utambe na uringe
Nami nina mke ili unichuunge
Mng’aro nuru yako, kama mbala mwezi
Na uzuri wa macho yako yameng’aa machozi
chorus
((((Eh eh lupee) Umeumbwa mama  (ehx2) uwee wangu unapendeza
(Lupeex3) Lupela uwe wangu unapendeeza(eh luwiluwiluwi x3)unapendeza))))

Saa ni nini wapi
Twende visiwani ama chini baharini au tupae angani
Wewe baba si jaji na we mama si jaji
Niuvishe lawangu  wale hadhul dhahuudhl
(((((
Chorus
)))))
Waite ite marafiki zako
Baba  mama yako
Waje lupeex2 waje wacheze (haaah!) lupee
Lupela (aaah) lupe wewe rejea





No comments:

Post a Comment