Song- Story Yangu
Artist- Bahati ft Denno
Mmmm yee hey hey hey
oooh
Story yangu,
Niskize (Mtoto mama,
hivi unavyo niona (ah)
Mimi Denno, nimetoka
na mbali sana ) x2
Hey hey, na
Tange me nikazaliwa,
hata mwangaza,
Sikuwai kuja kuona,
ey hey yeeh
Tange me nikazaliwa,
hata mwangaza,
Sikuwai kuja kuona,
((Story yangu x2
Hebu rafiki, nipe
sikio, mimi nataka simulia)) x2
Najua uchungu,
maswali mengi kwako moyoni
Kwanini Molla iwe
hivi, kwanini Mola iwe mimi
Najua uchungu,na mimi
haunioni, niko na rasta lakini mbona
Nimefungika wapewa
story, at nine
Mama alipoondoka, skiza
nikupe story, kumbuka ghetto ni ngori
At nine, baba
akanitoka, sana ikiwa machozi,
Mchanga na sijiwezi,
Maisha kung’ang’ana
nkaona siwezi,
Ndoto zangu nkatupa
mbali, ila leo niko mahali
Maisha kung’ang’ana
nkaona siwezi,
Kumbe Mungu aliona
mbali, hivi mingi amenipa mimi
((Story yangu x2
Hebu rafiki, nipe
sikio, mimi nataka simulia)) x2
((Mungu ni mwema
story imebadilika,
Leo hii, tunaimba
wanabarikiwa)) x2
((Story yangu x2
Hebu rafiki, nipe
sikio, mimi nataka simulia)) x2
No comments:
Post a Comment