Diamond Platinumz ft Rayvanny
Salome
Kioo hakidanganyi
mama
Umejipodoa umepodoka
Mwendo na jipwa,
vyote mwanana
Visuruari yanidondoka
Tukimbizane nini
Saloome wangu? Hiyo michezo ya jogoo
Ona watizama chini
Salome wangu, ukimwona jongoo
Inama kidogo, shika
magoti
Mimi nimesimama kama
ngongoti
Mtoto jojo sio
roboti, chumbani bingri bingiri samasoti
Unanitekenyanga
ukinyonga Salome
Unanitekenyanga
ukinyonga
Unanitekenyanga
ukinyonga kweli
Unanitekenyanga
ukinyonga
Olera bakuruvai Olera
Mbambey
Olera na Zalima Olera
Mbambey
Utamkolea, aporokoto
Ting’ali tinga’li
yaani pamoto
Ntamnyongea, msokoto
Tamu si mukali kama
koboko eh!
Mapenzi yananipa
shida, shida mama
Ni donda liso kuwa na
tiba, tiba bwana
Usije baby,
kanicharanga
Kanichambua moyo
kakaranga
Mie baby kwenye
msamwana
Uwasinganjigenge ni nganganga
Unanitekenyanga
ukinyonga Salome
Unanitekenyanga
ukinyonga
Unanitekenyanga
ukinyonga kweli
Unanitekenyanga
ukinyonga aah
Olera bakuruvai Olera
ngambey
Olera na Zalima Olera
ngambey
Mmmyey! Mwenzako nyang’anyang’a
Mmmyey! Binzari me
ndo nyanya
Baby kwangwang,
nisimamie kama kangaroo
Ibambe kangwang, babu
Juma mpige kwagwaru kwagwaru kwaa
Aiseh Chambua kama
karanga Sasa,
Chambua kama karanga
Ichambue kama karanga
Salome
Chambua kama karanga
Aiseh washa, washa
Moto washa washa
Songa, songa ugali
songa songa
Mpaka chini ah chini x2
Wenye wivu wajinyoge
leo,
Wenye wivu wajinyonge
Ooh wenye wivu
wajinyonge sana
Wenye wivu wajinyonge
Wenye wivu wajinyonge
kweli
Wenye wivu wajinyonge
Ooh wenye wivu wajinyonge
sana
Wenye wivu wajinyonge
Wanakodoa kodo,
wanakodoa
Macho kodo, Wanakodoa
kodo wanakodoa
Wale kodo wanakodoa
kodo,wanakodoa
Ukinyonga, Wanakodoa
kodo, wanakodoa
Ukisonga, wanakodoa
kodo, wanakodoa
No comments:
Post a Comment