Friday, 3 February 2017

Adabu Lyrics Dela ft H_art The Band

Dela ft H_art the Band - Adabu lyrics

woman you make me feel like a thousand shillings
sio coins but noti, me you, minus tie shati na koti
heaven floating hoping and i make you feel like a lady
hahahha sedong
ooww yeah

CHORUS
{
nataka unifunze adabu,
penzi langu tamu kama madafu
nipe nipe hilo penzi la ajabu,
usikawie, usikawie
usikawie bila sababu, songa karibu yangu mummy
nataka unifunze adabu usinipimie, usinipimie
}

ua umechanua ukikawia utanyauka
jua likishamvua nimegundua utaniua
wanipagawisha, long time its been kuna kiangazi
tukutane wapi, nikupate wapi? hehehee

(wewe ni mubaya baya, mafuta moto kwa karaya raya
nitaimba bila haya haya, wewe ni pasta me ni kwaya kwaya) X2

CHORUS

mpenzi uka ngute let me let me talk to you
for a minute coz lately, i seem not to be okay
wanifanya nakuwaza kishenzi,
wanifanya nahisi ni kama naoga na maji vugu vugu
yaani ngumise ngwa watu ukuta hey
kizungu zungu,
its been a long long time since i felt this way,
and i've been longing n waiting to see your face
songea karibu ni ruhusu nikubusu
sauti yako mpenzi nataka kusikia daily

(baby you light me fire
nikiwa nawe me sioni haya
mambo yote sawa, siwezi kwacha, ata na dawa ya mganga) X2

CHORUS

wewe ni mubaya baya, mafuta moto kwa karaya raya
nitaimba bila haya haya, wewe ni pasta me ni kwaya kwaya

baby you light me fire
nikiwa nawe me sioni haya
mambo yote sawa, siwezi kwacha, ata na dawa ya mganga

CHORUS





No comments:

Post a Comment