Nipoze lyrics - Rawbeena
mapenzi ni hatari yauma leo
nakesho nikisali huruma (namwomba Mola)
yule ninaye mpenda leo naimba anisikie
mwanzo nilishatendwa asijefanya nijutie
chorus
tena anijali, naomba awe msikivu
nipate afadhali asinipe maumivu
tena anijali, naomba awe msikivu
nipate afadhali asinipe maumivu
njoo unipoze kwani tayari mimi
nishaumizwa
njoo unipoze tena sana iliniuma
ikapotuliza
njoo unipoze majeraha ya moyo
njoo unipoze moyo wangu
njoo unipoze
nilipoteza akili yangu, pamoja na muda
malipo yangu, ni dharau na shida
aliponiwacha, eti anaenda kutafuta
ila alipozipata, ikawa ngumu kukumbuka
kapagawa na marupe na mtoto za mjinni
akanisahu me visenti nimupe zile enzi
kijijini
akanidharau
chorus
aah aah aah Rawbee
Rawbee aaah aah aah
ooh ooh
njoo unipoze x3
tena sana iliniuma ikapotuliza
njoo unipoze majeraha ya moyo
njoo unipoze moyo wangu
njoo unipoze
No comments:
Post a Comment