Friday, 3 February 2017

Daddy Owen Vanity Lyrics

Song- Vanity
Artist- Dady Owen
Namuona na gari kubwa kuliko shida zake,
Namuona na wanawake(wanawake)
Alisema hakuna Mungu watu wajipange,
Anadhani ni nguvu zake,
Akigonjeka, daktari anatoka ng’ambo,
Akiboeka, hapo utaona mambo
Maombi kwake ni kelele,
Ndio nimeona nikueleze(oh oh)
Hashtag(hashtag), Nebukadineza
Sauli pia atakueleza,
Nasema , Hashtag(hashtag)
Haijalishi yale umeweza

(((Yote ni vanity (oh oh) vanity (oh)
Bila yesu ni vanity (oh oh) (vanity)))) x2

Namuona na sketi fupi kuliko miaka yake,
Anataka tumeze mate,
Alisema mmoja hawezi zima moto wake,
Ana wanaume wanane,
Haupatikanisani, ila ile siku ya harambee
Ya Asusu (Asusu we Asusu)
Haamini Mungu yupo,
Yeye husema atalishwa na matunda,
Ya usupu (usupu we usupu)

Nasema Hashtag(hashtag), Nebukadineza
Sauli pia atakueleza,
Nasema , Hashtag(hashtag)
Nebukadineza
Haijalishi yale umeweza

(((Yote ni vanity (oh oh) vanity (oh)
Bila yesu ni vanity (oh oh) (vanity)))) x2

Usimdharau binadamu mwenzio kuwa eti wewe una pesa mali na magari
Haya yote ni ubatili,
Shukuru Mungu kwa uhai, usijisifu sana
Huu mwilini ni chakula cha mchwa

(((Yote ni vanity (oh oh) vanity (oh)
Bila yesu ni vanity (oh oh) (vanity)))) x2

Vanity vanity, Mbele za Bwana
Vanity vanity, Mbele za Mungu
Ubatili mbele za Mungu tuwache
Kaa x3 vizuri mbele za Mungu
Kaa x3 vema mbele za Bwana
Ohwe vanity x2 ohwe




No comments:

Post a Comment