Song- Ziggo
Artist- Diamond ft AY
Director-
Picha ninaanza
shadata
Picha ninaanza
shawaka
Picha ninaanza
shachanganyikiwa
Picha ninaanza
shadata(oohwah)
Kweli miye,
amenikamata,
kwa jeans namemwangalia
akinipatia nami sitamwacha
kwa nyumba ananipa
mineso moyoni ananipa mateso
shore namate wa
ghetto mtam na hapendi dedeso
nakula kwa macho ,
five star girl si mchezo
(hebu ona x2)
Kweli miye,
amenikamata,
kwa jeans namemwangalia
akinipatia nami sitamwacha(aah)
Ananifanya kimanga,
lugha lafudhi ya kitanga
Msomi akapita na
kanga (woow!)dame wa figisi ni wa janga
Anamwona kuhonya tena
alivyoshona
Umbo kama katuni wa
kuchora
Masingida Dodoma
kitandani Sodoma
Kiuno kama nyuki
dondora
Maneno ya watu si
umenagira
Wasije leta referee
ka mpira
Chunga katu usijekuanzia
kashikwa na uchizi yaani utagira(woow)
Mtoto yani mukiri
bukire Mpaka ndani shigidi shigide
Asa akihikidi hikide
ye ndo mama shigudi shigudeh(yeeeh)
Kweli miye,
amenikamata,
kwa jeans
namemwangalia akinipatia nami sitamwacha
(Tuse tusetsi ya mine
budze budze ni ya mine
Mungu ameumba apa ya
mine
Natamani nikaseme naye
ya mine)x2
Naamini amezaliwa ili
mimi naye(eeh)
Mpaka sasa
nimechanganyikiwa mpaka yeye awe nami(eeh)
Mtoto yani mukiri
bukire Mpaka ndani shigidi shigide
Asa akihikidi hikide
ye ndo mama shigudi shigudeh(yeeeh)
Nawishi amezaliwa,
ili mimi niwe naye(eeh)
Mpaka sasa nimechanganyikiwa,
mpaka yeye awe nami(eeh)
Iwe x5 hii ndoto ni
tam mpaka utam umejituliza
Mpaka mjini
wanachukiza shika liki bidi ya mine
Ngoja niongeze bidii
ya mine, popote ilizali lango ya mine
Nikapige maze nambari ya mine (tshia)
Yesssayah!!
Nakula kwa macho
(beat) kwa macho x3
Kweli miye,
amenikamata,
kwa jeans
namemwangalia akinipatia nami sitamwacha
No comments:
Post a Comment