King Kaka Ft RedFourth Choir - Senzema lyrics
[intro]
Senzenina x4
okay
king Kaka
footprints kando ya
bahari nikiskia sinphone ya maji
vile samaki na boat
zinadance kweli Mungu ana kipaji
bt all good things
ziko na mwisho
i think the end ndio
huitwanga kifo
ulienda kama warrior
sababu wewe ndio ungetuwakilisha
lini unamaliza quest?
lini unaitamatisha?
already kuna ng'ombe
nono ukirudi tunaichinja
maisha skuizi
inanisakata wacha vile tulikuwa tunasakata dimba
room yako tumeiwacha
the same vile tu ilikuwa inkaa
ile poster zile viatu
na tulifold nguo vile ulikuwa unazipanga
ntaangalia na nani
Sunset vile inazama ndani
kama hurudi itumbukie
na isitoke uko ndani
ile pilau tulijaribu
kuipika kumbe ni mchele tu
sijui nini ilifanyika
me wakilil wako niambie nikutete tu
walisahau jina yako
skuizi wanakuita marehemu na the late
najua it's not too
late, kwangu is now
kuja tushare meal na
wewe kwa plate
macho zangu ziko na
layer ya sadness
akitoka shule saa
zingine husahau anauliza uko wapi moran
Agnet unakubuka vile
nilikuwa nasema nataka kwenda gym
niloose weight
i think the future
hufavour the bold
mchana yangu ndio
usiku
usiku yangu ndio
mchana
ambia Mungu kam basi
tuone tu sunset pamoja
sunset tu moja wacha
niumie
niumize matumbo
nikingoja
unakam when niplan?
staki mabeshte wako
wamiss please
zile jordan, unakam
when tucheze ps
tupe signs smoke
signal tuma messenger basi
niandikie barua
niende poster kesho ama
andika kitu kwa sky
najua handwritting yako ama
niangalie juu lini?
usiku au mchana ama?
usiandike saa zile
jua inanidistract c unanijua ama?
c unakumbuka macho
zangu hazido poa na taa ama
hii ni ndoto ama? ni
kama nikiamka ntakupata nje ama
ama tu umehama na
nalala ama
ama nasleep talk nikiamka ntakupata ama
wanasema kama sina
mbona nachagua ama
ama umeenda na
umeniachia tu memories ama
[outro]
Senzenina (till fade)
No comments:
Post a Comment