Song; Mwana
Artist; Alikiba
Director;
Rackstar400
Yoh!
Mali ni nyingi nyumbani
Kipi kimekukimbiza ona babi oh mummy yoh
Wote wanakulilia
Mtoto peke yako nyumbani
Kipi kimekukimbiza ona babi oh mummy yoh
Wote wanakulilia
Ndani ya Dar eh same ulikuja bure
Tena (kimwana x2) hujui kuchuna
Na zile lawama za wale walokuzoeza
Ulikuja jana na leo tofauti sana
Tena bora yule wa jana, wa leo tofauti
sana
Dakika mbili mbili nyuma, kichwa kinauma )
Tena bora yule wa jana, wa jana leo wa
jana
Dakika mbili mbili nyuma, kichwa kinauma )(oh
yayeh)
chorus
Mbona unawatesa sana x2 ((omambeh x3) haya
mambeh(omambehx3) haya mambeh )x2
Ukaanza kulewa, madawa, kuvuta kwa sana
Ndani ya daresalam mambo matam,
hayakukwisham
We bado mtoto wa mama hujayajua mengi,
Mwenda tezi, na omo, marejeo ngamani
Amesema sana mama dunia tambara bovu
Kuna asali na shubiri ujana, giza na nuru
We mwana wewe mwana, mwana jeuri sana
Ulichokifwata hukupata, umekosa
ulivyoacha
Kwa baba yako mwana, na mama yako mwana
Kwa vicheche ulivyovitaka, vingi ullivyo acha(ohyayeh!)
(((
chorus
)))
(Right, maoutah, cheeks volah,
combeingna)
masioloso guitar
Naleta lawama, wewe unaleta lawama x2
(back to the top aaeh)
We mwana (ooooh) uchungu wa mwana aujuaye
mzazi
Siku zote milele (eeeeeeh) Analia
(oooohohyeh)
Kwa tezi mwana lala mingi eh kwa baba ,
mama yako
We mwana rudi eeeeeh
Wate wa ofurahi wakikuona merejea salama
eee
(Omambeh x7)
No comments:
Post a Comment