Amos and Josh ft Ben Pol,
Apio and Mohammed Amin - Kupe lyrics
aha legend
nipe chansi, nijitetee tu sai
tuende wapi? nikutembeze Nai
watu wajue mimi nilishawai
zawa nafiki zote sikubali mimi
CHORUS
{Unanichanganya umeniduwaza
umenipeleka juu na chini na kunipumbaza
umenichanganya umeniduwaza
umenipeleka juu na chini na kunipumbaza
mama
kama kupe sikutoki kama kupe sikutoki
sikutoki mama kama kupe sikuwachili
sikuwachili kama kupe sikutoki
kama kupe sikuwachili
sikuwachili mama kama kupe sikutoki }
nipe fursa nikujibu swali
sio siri mimi nakudhamini
masilahi utaniwachia mimi yeyea
kama sio mimi mwingine ndiye nani mamy
CHORUS
usindalimuwala muzivunda sikuwativa
mukono
nasangae musivu olo touch and follow
nkwewatonina vulichimo chitwala vava
ni mutima gwa kutala nae
{siuliza oye changa
siuliza tolingavya
siuliza tolinecha munjura
vate novangwate}x2
siuliza
CHORUS
yes ah yes ah yes ah
yes ah yes ah x2
wewe na mimi kama watoto wawili
tukitembea hucheza kila mahali
mara nikulishe, mara uninyweshe
unanipa vyote siwezi enda kwa mwengine
unanimaliza unaniwezea
hata nikiwa na shida wewe unanitetea
baby
CHORUS
nyama lote ukanipa kidogo mkononi kuonja
x4
mdogo mkononi kuonja x2
mzee jeju ana ng'ombe
nami 'na ng'ombe zangu
namwanbia tuchanganye hataki
kwaheri naenda zangu
CHORUS
No comments:
Post a Comment