Akothee ft Diamond - Sweet
love lyrics
You know sina ujanja, kwako nimeishona
kinywa baba kwako sise(sisemi)
And you know, macho yangu kwako jeuri
sina baba, kwako sihe(sihemi)
Wasijekuteka viwembe, nami ukaniacha
kizembe
Wakati we shamba mi jembe (you are my
sweet love)
Kama upendo nyumba tujenge, nitakushonea
shati kitenge
Kwa mama si twende (you are my sweet
love)
Imara baby oka biwei nyakachee ×2
CHORUS
{Ooh baby you are my sweet love
Ooh my sweet love, you are my sweet love
Sweety number moja} ×2
Sikuizi upendo ukarabai zinga upepo
wasituzimie mama
Wakati wa vitina binadamu si unawajua,
wengi walaghai
Wasije kesho wakaniibia changamwe, venye
uwezo sina nikabaki naugua
Mangapi walishazusha tuzonge
Mangapiii lengo waninyang'anye tonge
Ooh mangapi mangapi yakachinja na ng'ombe
kiko wapi siofande tutishilie mizombe
hai
{pilipili inawashia nini, sirisiri yetu
wewe na mimi
Wawiliwili hivi wana nini
Binadamu bwana }×2
CHORUS
Kwanza pilipili yawaashia nini, sirisiri
yetu wewe na mimi
Wawiliwili hivi wana nini
Binadamu bwana ×2
No comments:
Post a Comment